Kama ilivyo kwa vyombo vingine vya muziki, kuna taratibu au miongozo ya namna ya kupiga guitar. Kwa kuanza ni muhimu kufahamu majina ya nyaya za guitar kwa kuanzia ulio mwembamba kabisa hadi waya wa mnene wa sita. Nyaya hizi zimepewa majina ya herufi; Namba 1 ni "E", Namba 2 ni "B". Fuatilia picha zifuatazo hapo chini kufahamu namna ya kushika chord za msingi (Major chords) kwenye guitar lako;
'A' Major
'B' Major
'C' Major
'D' Major
'E' Major
'F' Major
'G' Major