NANI NI MLENGWA WA MAFUNZO HAYA?
· Yeyote anayetaka kujifunza na kuinua kiwango chake cha upigaji wa muziki.
· Yeyote aliyechoshwa na upigaji wake wa aina moja siku baada ya siku.
· Yeyote anayetaka kujifunza upigaji wa muziki kisasa.
· Yeyote anayetake kuongeza “vionjo” vipya katika upigaji wake.
· Yeyote mwenye kiu ya kujifunza zaidi upigaji wa muziki!!
UTAJIFUNZA MAMBO GANI KWA DVDs HIZI?
ü Utangulizi - hatua kwa hatua katika upigaji wa keyboard, guitar, Bass na kuimba
ü Namna ya upigaji wa chords mbali mbali kama Major, Minor, Seventh, Major seventh and nyinginezo muhimu katika upigaji wa kisasa.
ü Ubunifu wa chords au chord inversion.
ü Mtiririko wa chords au Chord progression.
ü Namna ya upigaji au uimbaji wa scales
ü Upigaji wa chord mbadala
ü Mifano na nyimbo za kufanyia mazoezi ya upigaji
ü Mambo mengine mengi mazuri yahusuyo upigaji wa keyboard, guitar, bass na kuimba.
THAMANI YA MAFUNZO HAYA YA MUZIKI
Gharama ya mafunzo haya ingekuwa ni zaidi ya Tshs 100,000/=, kwa kuzingatia
(i) Elimu unayoipata,
(ii) Gharama halisi kama ungemuajiri mwalimu wa muziki kukufundisha
(iii) Gharama ambayo ungeitoa katika shule rasmi ya muziki.
Hatutaiuza DVD ya mafunzo ya muziki kwa Tshs 100,000/= japokuwa ndio thamani ya package hii na wala hatutaiuza kwa Tshs 50,000/=. Pia hatutakutaka uinunue hata kwa bei ya rejareja ya Tshs 30,000/= kwa sababu tunataka watu wengi kadiri iwezekanavyo kufaidika na mafunzo haya kwa bei nafuu.
Kwa bei kati ya Tshs 10,000/= tu utaweza kujipatia nakala yako ya mafunzo ya muziki kwa njia ya DVD.
Ofa hii yaweza kubadilika wakati wowote (Kwa hiyo kama unadhamira ya dhati ya mafunzo haya kwa njia ya DVD, nakushauri uchukue hatua haraka --- Vingenevyo, waweza kujikuta ukiinunua kwa zaidi ya Tshs 30,000/= kwa baadae).
UTARATIBU WA UPATIKANAJI WA DVD HIZI
Unaweza kujipatia DVD za mafunzo ya muziki;
(1) Mlimani city kwenye duka la DVDs na Movies karibu na geti la kwanza la kutokea Mwenge (Imma 0753-269910).
(2) Kwa walio mikoani - Tuma hela ya kununulia DVD Tshs 20,000 ikijumuisha gharama ya kukufikishia DVD pale ulipo. Tuma hela kwa njia ya M-PESA kupitia namba 0767-344425 au kwa Tigopesa 0714285737. Tuma email yenye kuonesha taarifa za meseji ya M-PESA/TIGOPESA (Namba ya muamala, tarehe, kiasi, na jina la mtumaji). Onesha anuani ambayo utapenda DVD zitumwe; Mfano Musa Masawe, Smart Advocates Limited, 3 Floor, Sukari Building, Samora Avenue, P.O. Box 2125, Dar-es-salaam na Utapokea DVDs zako baada ya siku moja au mbili kutegemeana na mahali ulipo.

Changamoto kubwa katika kujifunza muziki ni uchache wa waalimu, muda wako na wa mwalimu kukufundisha, na gharama kubwa ya kujifunza. Kwa kuzingatia haya, kwa wale ambao wamekuwa wakitamani kwa muda mrefu kujifunza upigaji wa vyombo vya muziki, hii fursa muhimu sana ya kuitumia kukamilisha ndoto zao. Baada ya kuandika hayo, naomba nichukue tena fursa hii kukukaribisha kwa moyo wa dhati na kukutakia kila la kheri katika jitihada za kujifunza upigaji wa muziki na kukupa moyo..JIFUNZE MUZIKI!!!
Nahitaji kujifunza katika shule zako 0762303577
ReplyDeleteHabari? Je,hakuna chuo ambacho naweza kuja kujifunza kuliko kutumua hizi DVD?
ReplyDeleteNamba nijue ntaipataje hiyo CD ya kujifunzia kinanda na ni shngp 0685489984 nijulishe ntaipataje Nina she nayo
ReplyDeleteTutaipataje sasa
ReplyDeleteNahitaji sana hiyo.... Inachukua muda gani kuipata ?
ReplyDeleteMbn muhusika hata hajibu sasa
ReplyDeleteKwa Whatsapp VP hamtumiii
ReplyDelete0753996407
ReplyDelete0753996407
ReplyDelete0753996407
ReplyDeleteKwa Whatsapp VP hamtumiii
ReplyDeleteMbn muhusika hata hajibu sasa
ReplyDeleteNahitaji namba yenu yacm
ReplyDeletePia nahitaji cd
ReplyDeleteNahitaji cd yenu
ReplyDeleteNahitaji 0748325933
ReplyDeleteKwa mimi wa kibondo kigoma nitaipata vp hyo falsh. Maana siku hizo mfumo wa cd unaenda kupotea.
ReplyDeleteNipo tayari kujifunza.
ReplyDeleteJapo nnahtaji kumpata notes kwa ajili ya kujisomea kwanza hatua moja na nyingine kuamasha ari ya kujifunza
Ninahitaji CD au flash nitaipataje niko Dar es salaam 0626687551
ReplyDeletewamejitokeza wengi na ujajibu ata mmoja unamaanisha nini au unataka tutume pesa
ReplyDelete